Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

YAKO HAPA MANENO YA MKE WA WAYNE ROONEY BAADA YA MUMEWE KUZOMEWA UWANJANI

Rooney kwa sasa anaonekana kukutana na wakati mgumu katika soka lake baada ya kuonekana kuanza kukosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza chini ya kocha Jose Mourinho kwa mechi 3 zilizopita, kitendo cha kuzomewa kwa nahodha siku ya Jumamosi katika mchezo dhidi Malta Wembley hakikumfurahisha mkewe Coleen Rooney.
dfghjkl
“Mechi kama ya kesho na una mtoto wa kiume ana miaka sita halafu awepo uwanjani anaangalia baba yake akizomewa, hilo sio sawa kiukweli” tweet hiyo imekuja jana yakiwa yameanza maneno ya kuwa Rooney atakosekana katika mchezo wa leo dhidi ya Slovenia.
KAMA HUJABAHATIKA KUSIKILIZA AU KUDOWNLOAD WIMBO WA MO DESIGN UITWAO KIDONDA BASI HUU HAPA

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top