Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

UJERUMANI WAMEANZA KWA USHIDI EURO 2016... YAKO HAPA MATOKEO YA MECHIZINGINE...

Bado michuano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama UEFA Euro 2016, inaendelea tena Ufaransa kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja mbalimbali, mchezo wa mwisho kuchezwa kati ya Ujerumani dhidi ya Ukraine ndio mchezo uliokuwa unatarajiwa kutazamwa na mashabiki wengi.
353122DE00000578-0-image-a-2_1465761793983
Ujerumani ambao walicheza mchezo wao kwanza wa Euro 2016 walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 19 na Bastian Schweinsteiger dakika ya 90, huu ni mchezo ambao ulionekana kama wa upande mmoja.
RAMA
Matokeo ya mechi za Euro 2016 zilizochezwa J

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top