Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

RONALDINHO AREJEA BRAZIL KUITUMIKIA FUMINENSE... SOMA HAPA...



Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa dunia kupitia timu ya taifa ya Brazil huyu ni Ronaldinho hatimae amerudi nyumbani  na kuingia mkataba wa kuitumikia timu ya Fluminense huko Rio de Janeiro nchini Brazil.
Picha ya mchezaji huyu akiwa na jezi ya timu hiyo ilipostiwa kwenye mtandao wa Twitter kupitia akaunti ya klabu hiyo mapema mwishoni mwa wiki pindi alipokubali kuungana na Fred aliyewahi kuwa mchezaji mwenzake kutoka Brazil.
Baadae Ronaldinho alitweet kuelezea furaha yake kurudi nyumbani na kuitumikia timu hiyo

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top