Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

WA NDIO WACHEZAJI WA MAN U WALIOCHUKUA TUZO... TAZAMA PICHA KIBAO...



David De Gea (katikati) alipokuwa akiwasili katika tuzo za Mchezaji bora wa mwaka wa Man Utd.
Manchester United walitoa tuzo kwa wachezaji wao ambapo kipa David de Gea anayetajwa kutaka kuhamia Real Madrid alishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United na mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Hispania, Juan Mata ameshinda tuzo ya bao Bora la Msimu alilofunga katika mechi dhidi ya Liverpool.

Wayne Rooney akiwa na mke wake Coleen.

KIPA wa Manchester United, David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United usiku wa jana.
Mchezaji Bora wa Mwaka wa U18: Axel Tuanzebe
Mchezaji Bora wa Mwakja wa U21: Andreas Pereira
Mchezaji Bora wa Msimu: David de Gea
Bao Bora la Msimu: Juan Mata v Liverpool
Mchezaji Bora wa Mwaka: David de Gea 
Mshambuliaji wa Man Utd, James Wilson akiwa na mke wake.
Marcos Rojo akiwa na  rafiki yake Eugenia Lusardo.
Ben Amos akiwa katika pozi na Dani Every.

Tyler Blackett akiwa na mke wake Naomi Thomas.

Phil Jones akiwa katika pozi na mpenzi wake Kaya Hall.

Ander Herrera akiwa na mchumba wake Isabel Collado.

Chris Smalling akiwa na mpenzi wake Sam Cooke.

Jonny Evans akiwa na mke wake Helen.

Michael Carrick akiwa na mke wake Lisa.

Victor Valdes akiwa na mpenzi wake Yolanda Cardona.

Radamel Falcao akiwa na mke wake Lorelei.

Anders Lindegaard akiwa na mke wake Misse Beqiri.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top