Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

KAI AFUATA NYAYO ZA BABA YAKE, WYNE ROONEY WA MAN U...

kai3
Kuna msemo usemao kuwa Mtoto wa Nyoka ni Nyoka, na hii inaweza kujidhihirisha kwa mtoto wa mwanasoka bora wa ligi kuu ya England Wyne Rooney aitwaye Kai.

kai2

Rooney wa Manchester United ana watoto wawili Kai na Klay ambao pia ni kama wanafuata nyayo za baba yao kutokana na kuanza kuonyesha uwezo na vipaji wakiwa bado wadogo.

kai
Kai aliamua kuungana na baba yake jana ndani ya uwanja mara baada ya pambano kati ya Manchester United na Arsenal mchezo ambao matokeo yake yailikuwa ni sare ya 1-1

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top