Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

JUVETUS YAWASHANGAZA WENGI... SOMA NA CHEKI VIDEO HIGHLIGHT HAPA...


Spain,Santiago Bernabeu
Tofauti na ilivyotarajiwa kuanzia machoni hadi midomoni mwa watu,Juventus ndo ilionekana timu dhaifu katika hatua ya nusu fainali baada ya kupangwa kwa ratiba hiyo na wengi wakilaumu au kubeza na kuamini kwa asilimia 100 kuwa Real Madrid wangeweza kutinga fainali kwa urahisi zaidi lakini matarajio ya wengi yamekuwa yamekwenda kombo,
Na sasa Juventus wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano hiyo ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Fc Barcelona mchezo utakaopigwa hapo Juni 6.mwaka huu jijini Berlin,Ujerumani na kuwaacha watu wasiamini kilichotokea kuwa ni kweli au ndoto.

Juve imeing'oa Madrid kwa Jumla ya mabao 3-2. Baada ya kufanikiwa kupata suluhu ya bao 1-1 katika mchezo uliopigwa usiku wa kuamkia leo.
Ikiwa ni mchezo wa pili(marudiano),ambapo katika mchezo wa awali Juventus walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

PLAY VIDEO HIGHLIGHT HAPA..

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top