Welcome

    HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI

    .

    Social Icons

Loading...

SHEREHE ZA UBINGWA KWA VIJANA ZAANZA CHELSEA...CHEKI HAPA...

captain
 
Vinara wa ligi kuu ya England, Chelsea wamebakiza mchezo mmoja kushinda kabla hawajatangazwa kuwa mabingwa wapya wa ligi hiyo msimu huu.
Wakati wakisubiri kwa hamu mchezo huo, habari njema ni kutoka kwa timu ya vijana ya Chelsea ambayo yenyewe tayari imeshatangazwa mabingwa wa kombe la FA na ni kama dalili njema kwa wakubwa wao ambao wamebakiza pointi tatu ili kuweza kutangazwa mabingwa wapya.
 
vijana
 
Timu yao ya vijana jana usiku iliweza kudhihirisha kuwa ni bora zaidi mbele ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich aliyekuwa uwanjani hapo wakati akishuhudia vijana wake wakiichapa Man City mabao 2-1.
Ushindi huo umewafanya walibebe kombe hilo kwa mara nyingine kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2.
 
wote



 

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SOKASPORT
Back To Top